Job 38:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, umewahi kuoneshwa malango ya kifo, au kuyaona malango ya makazi ya giza nene?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umewahi kuoneshwa malango ya mauti? Umewahi kuiona milango ya uvuli wa mauti?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Umefunuliwa malango ya mauti, Au umeyaona malango ya kuzimu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, umewahi kuoneshwa malango ya kifo, au kuyaona malango ya makazi ya giza nene?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umewahi kuonyeshwa malango ya mauti? Umewahi kuiona milango ya uvuli wa mauti?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umewahi kuonyeshwa malango ya mauti? Umewahi kuiona milango ya uvuli wa mauti?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Umefunuliwa malango ya mauti, Au umeyaona malango ya kuzimu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, umewahi kuoneshwa malango ya kifo, au kuyaona malango ya makazi ya giza nene?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Malango ya kifo yakafunguka mbele yako? Nayo malango ya kuzimu ukayaona?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Umefunuliwa malango ya mauti, Au umeyaona malango ya kuzimu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umekwisha kuonyeshwa milango ya kifo au kuona milango ya makao ya giza kubwa?