Job 38:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Je, makao ya mwanga yako wapi? Nyumbani kwa giza ni wapi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Njia ya kufika kwenye makao ya nuru ni ipi? Nako maskani mwa giza ni wapi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Iko wapi njia ya kuyafikia makao ya nuru? Na giza pia, mahali pake ni wapi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Je, makao ya mwanga yako wapi? Nyumbani kwa giza ni wapi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Njia ya kufika kwenye makao ya nuru ni ipi? Nako masikani mwagiza ni wapi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Njia ya kufika kwenye makao ya nuru ni ipi? Nako maskani mwa giza ni wapi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Iko wapi njia ya kuyafikia makao ya nuru? Na giza pia, mahali pake ni wapi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Je, makao ya mwanga yako wapi? Nyumbani kwa giza ni wapi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njia ya kwenda huko, mwanga unakokaa, iko wapi? napo mahali pake giza pako wapi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Iko wapi njia ya kuyafikia makao ya nuru? Na giza pia, mahali pake ni wapi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makao ya mwangaza yako wapi? Kwenye nyumba ya giza ni wapi,