Job 38:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nani wewe unayevuruga mashauri yangu kwa maneno yasiyo na akili?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nani huyu atiaye mashauri yangu giza kwa maneno yasiyo na maarifa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani huyu atiaye mashauri giza Kwa maneno yasiyo na maarifa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nani wewe unayevuruga mashauri yangu kwa maneno yasiyo na akili?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nani huyu atiaye mashauri yangu giza kwa maneno yasiyo na maarifa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nani huyu atiaye mashauri yangu giza kwa maneno yasiyo na maarifa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani huyu atiaye ushauri giza Kwa maneno yasiyo na maarifa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nani wewe unayevuruga mashauri yangu kwa maneno yasiyo na akili?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni nani huyu ayatiaye giza matengenezo yangu akijisemea maneno yakosayo ujuzi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani huyu atiaye mashauri giza Kwa maneno yasiyo na maarifa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani wewe unayevuruga mipango yangu kwa maneno yasiyokuwa na akili?