Job 38:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili upate kulipeleka kwenye makao yake, na kuifahamu njia ya kwenda huko kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, unaweza kuvirudisha kwenye makao yake? Unajua njia za kufika maskani mwake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Upate kuipeleka hata mpaka wake, Upate kuelewa na mapito ya kuiendea nyumba yake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili upate kulipeleka kwenye makao yake, na kuifahamu njia ya kwenda huko kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, unaweza kuvirudisha kwenye makao yake? Unajua njia za kufika maskani mwake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, unaweza kuvirudisha kwenye makao yake? Unajua njia za kufika maskani mwake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Upate kuipeleka hata mpaka wake, Upate kuyaelewa mapito ya kuiendea nyumba yake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili upate kulipeleka kwenye makao yake, na kuifahamu njia ya kwenda huko kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unaweza kuisindikiza, uipeleke kwake? Njia za kwenda nyumbani kwake unazijua?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Upate kuipeleka hata mpaka wake, Upate kuelewa na mapito ya kuiendea nyumba yake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi upate kupeleka kwenye makao yake, na kuifahamu njia ya kwenda kule kwake.