Job 38:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Je, umewahi kuingia katika bohari za theluji, au kuona bohari za mvua ya mawe
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Je, umeshawahi kuingia katika maghala ya theluji, au kuona maghala ya mvua ya mawe,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Umeziingia ghala za theluji, Au umeziona ghala za mvua ya mawe,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Je, umewahi kuingia katika bohari za theluji, au kuona bohari za mvua ya mawe
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Je, umeshawahi kuingia katika ghala za theluji au kuona ghala za mvua ya mawe,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Je, umeshawahi kuingia katika ghala za theluji, au kuona ghala za mvua ya mawe,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Umeziingia ghala za theluji, Au umeziona ghala za mvua ya mawe,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Je, umewahi kuingia katika bohari za theluji, au kuona bohari za mvua ya mawe
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Penye vilimbiko vya theluji ulipafika? Navyo vilimbiko vya mvua ya mawe uliviona?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Umeziingia ghala za theluji, Au umeziona ghala za mvua ya mawe,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umekwisha kuingia katika akiba za teluji, au kuona akiba za mvua ya mawe