Job 38:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ambavyo nimevihifadhi kwa ajili ya wakati wa fujo, kwa ajili ya siku ya mapigano na vita?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambazo nimeziweka akiba kwa ajili ya wakati wa taabu, na kwa ajili ya wakati wa vita na mapigano?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nilizoziweka akiba kwa wakati wa misiba, Kwa siku ya mapigano na vita?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ambavyo nimevihifadhi kwa ajili ya wakati wa fujo, kwa ajili ya siku ya mapigano na vita?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambazo nimeziweka akiba kwa ajili ya wakati wa taabu, na kwa ajili ya wakati wa vita na mapigano?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambazo nimeziweka akiba kwa ajili ya wakati wa taabu, na kwa ajili ya wakati wa vita na mapigano?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilizoziweka akiba kwa wakati wa misiba, Kwa siku ya mapigano na vita?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ambavyo nimevihifadhi kwa ajili ya wakati wa fujo, kwa ajili ya siku ya mapigano na vita?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku za masongano ndizo, nilizoviwekea, hata siku ya magombano nayo ya mapigano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nilizoziweka akiba kwa wakati wa misiba, Kwa siku ya mapigano na vita?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ambavyo nimeviweka kwa ajili ya wakati wa fujo, kwa ajili ya siku ya mapigano na vita?