Job 38:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ipi njia ya kwenda mahali mwanga unapogawanywa, au huko kunakotoka upepo wa mashariki ukasambazwa duniani?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njia iendayo mahali miali ya radi inapotawanywa ni ipi, au njia iendayo mahali upepo wa mashariki unaposambazwa juu ya dunia?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Nuru hutengwa kwa njia gani, Au upepo wa mashariki hutawanywaje juu ya nchi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ipi njia ya kwenda mahali mwanga unapogawanywa, au huko kunakotoka upepo wa mashariki ukasambazwa duniani?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ipi ni njia iendayo mahali umeme wa radi unapotawanyiwa, au mahali upepo wa mashariki unaposambaziwa juu ya dunia?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni ipi njia iendayo mahali umeme wa radi unapotawanyiwa, au mahali upepo wa mashariki unaposambaziwa juu ya dunia?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Nuru hutengwa kwa njia gani, Au upepo wa mashariki hutawanywaje juu ya nchi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ipi njia ya kwenda mahali mwanga unapogawanywa, au huko kunakotoka upepo wa mashariki ukasambazwa duniani?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njia ya kwenda hapo, mwanga unapogawanyika, iko wapi? Upepo wa maawioni kwa jua unatoka wapi, uenee juu ya nchi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Nuru hutengwa kwa njia gani, Au upepo wa mashariki hutawanywaje juu ya nchi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unajua mwangaza unagawanywa kwa njia gani, au namna gani upepo wa mashariki unavyosambazwa katika dunia?