Job 38:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nani aliyechora angani njia kwa ajili ya mvua? Nani aliyeionesha radi njia yake mawinguni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani aliyepasua mifereji kwa ajili ya maji mengi ya mvua yaendayo kasi na njia ya miali ya radi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani aliyepasua mfereji kwa maji ya gharika, Au njia kwa umeme wa radi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nani aliyechora angani njia kwa ajili ya mvua? Nani aliyeionesha radi njia yake mawinguni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani aliyepasua mifereji kwa ajili ya maji mengi ya mvua yaendayo kasi na njia ya umeme wa radi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani aliyepasua mifereji kwa ajili ya maji mengi ya mvua yaendayo kasi na njia ya umeme wa radi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani aliyepasua mfereji kwa maji ya gharika, Au njia kwa umeme wa radi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nani aliyechora angani njia kwa ajili ya mvua? Nani aliyeionesha radi njia yake mawinguni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni nani azichimbiaye mvua mifereji, zikifurika? Tena ni nani, auelekezeaye umeme njia yake, ukinguruma?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani aliyepasua mfereji kwa maji ya gharika, Au njia kwa umeme wa radi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani aliyechora katika anga njia kwa ajili ya mvua? Nani aliyeonyesha radi njia yake katika mawingu,