Job 38:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ikasababisha mvua kunyesha nchini kusikoishi mtu na jangwani ambako hakuna mtu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili kusababisha mvua kunyeshea mahali pasipokaliwa na mtu, jangwa lisilo na yeyote ndani yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kunyesha mvua juu ya nchi isiyo na watu; Juu ya jangwa asiyokaa mwanadamu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ikasababisha mvua kunyesha nchini kusikoishi mtu na jangwani ambako hakuna mtu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kusababisha mvua kunyeshea mahali pasipokaliwa na mtu, jangwa lisilo na ye yote ndani yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kusababisha mvua kunyeshea mahali pasipokaliwa na mtu, jangwa lisilo na yeyote ndani yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kunyesha mvua juu ya nchi isiyo na watu; Juu ya jangwa asiyokaa mwanadamu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ikasababisha mvua kunyesha nchini kusikoishi mtu na jangwani ambako hakuna mtu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni nani ainyesheaye mvua hiyo nchi isiyokaa watu, nako kusikopatikana wana wa Adamu, kule nyikani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kunyesha mvua juu ya nchi isiyo na watu; Juu ya jangwa asiyokaa mwanadamu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nayo ikasababisha mvua kunyesha katika inchi kusikoishi mutu na katika jangwa ambako hakuna mutu,