Job 38:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili kuiburudisha nchi kavu na kame na kuifanya iote nyasi?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili kuitosheleza nchi ya ukiwa na jangwa, na majani yaanze kumea ndani yake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuishibisha nchi iliyo kame na ukiwa, Na kuyameza majani yaliyo mororo?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili kuiburudisha nchi kavu na kame na kuifanya iote nyasi?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kuitosheleza nchi ya ukiwa na jangwa na majani yaanze kumea ndani yake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kuitosheleza nchi ya ukiwa na jangwa, na majani yaanze kumea ndani yake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuishibisha nchi iliyo kame na ukiwa, Na kuyameza majani yaliyo mororo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili kuiburudisha nchi kavu na kame na kuifanya iote nyasi?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni nani atakayelishibisha jangwa napo palipo patupu kabisa, apachipuze na kuotesha majanijani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuishibisha nchi iliyo kame na ukiwa, Na kuyameza majani yaliyo mororo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi ikunyweshe inchi kavu na yenye kukauka na kuifanya ioteshe majani?