Job 38:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, barafu ilitoka tumboni kwa nani? Nani aliyeizaa theluji?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Barafu inatoka tumbo la nani? Ni nani azaaye ukungu kutoka mbinguni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Barafu ilitoka katika tumbo la nani? Na sakitu ya mbinguni ni nani aliyeizaa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, barafu ilitoka tumboni kwa nani? Nani aliyeizaa theluji?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Barafu ilitoka katika tumbo la nani? Ni nani aliyezaa ukungu kutoka mbinguni
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Barafu inatoka tumbo la nani? Ni nani azaaye ukungu kutoka mbinguni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Barafu ilitoka katika tumbo la nani? Na theluji ya mbinguni ni nani aliyeizaa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, barafu ilitoka tumboni kwa nani? Nani aliyeizaa theluji?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tumboni mwa nani ndimo, barafu inamotoka? Tena ni nani auzaaye umande wa theluji, utoke mbinguni?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Barafu ilitoka katika tumbo la nani? Na sakitu ya mbinguni ni nani aliyeizaa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Barafu ilitoka katika tumbo la nani? Nani aliyezaa teluji?