Job 38:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jikaze kama mwanamume, nami nitakuuliza nawe utanijibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jikaze kama mwanaume; nitakuuliza swali, nawe unijibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi jifunge viuno kama mwanamume, Maana nitakuuliza neno, nawe niambie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jikaze kama mwanamume, nami nitakuuliza nawe utanijibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jikaze kama mwanaume, nami nitakuuliza swali, nawe unijibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jikaze kama mwanaume; nitakuuliza swali, nawe unijibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi jifunge viuno kama mwanamume, Maana nitakuuliza neno, nawe niambie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jikaze kama mwanamume, nami nitakuuliza nawe utanijibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya! Jifunge viuno vyako kama mtu wa kiume! Kisha nitakuuliza, unijulishe mambo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi jifunge viuno kama mwanamume, Maana nitakuuliza neno, nawe niambie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ujikaze kama mwanaume, nami nitakuuliza nawe utanijibu.