Job 38:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maji hugeuka kuwa magumu kama jiwe, na uso wa bahari ukaganda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakati maji yanakuwa magumu kama jiwe, wakati uso wa vilindi vya maji unaganda?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maji hugandamana kama jiwe, Na uso wa vilindi huganda kwa baridi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maji hugeuka kuwa magumu kama jiwe, na uso wa bahari ukaganda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakati maji yawapo magumu kama jiwe, wakati uso wa vilindi vya maji unapoganda?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakati maji yawapo magumu kama jiwe, wakati uso wa vilindi vya maji unapoganda?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maji hugandamana kama jiwe, Na uso wa vilindi huganda kwa baridi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maji hugeuka kuwa magumu kama jiwe, na uso wa bahari ukaganda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni kazi ya nani, maji yakipata mafuniko kama ya mawe, nayo maji ya vilindi yakishikamana huko juu kwa kugandamanishwa?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maji hugandamana kama jiwe, Na uso wa vilindi huganda kwa baridi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maji yanageuka kuwa magumu kama jiwe, na uso wa bahari unaganda.