Job 38:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Angalia makundi ya nyota: Je, unaweza kuifunga minyororo Kilimia, au kuvilegeza vifungo vya Orioni?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Je, unaweza kuufunga mnyororo wa Kilimia? Unaweza kulegeza kamba za Orioni?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia, Au kuvilegeza vifungo vya Orioni?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Angalia makundi ya nyota: Je, unaweza kuifunga minyororo Kilimia, au kuvilegeza vifungo vya Orioni?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Je, waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia? Waweza kulegeza kamba za Orioni?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Je, waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia? Waweza kulegeza kamba za Orioni?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia, Au kuvilegeza vifungo vya Orioni?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Angalia makundi ya nyota: Je, unaweza kuifunga minyororo Kilimia, au kuvilegeza vifungo vya Orioni?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Mafungo ya zile nyota saba za Kilimia unaweza kuyafunga? au kuyafungua mapingu yao zile nyota tatu za Choma, nikuchome?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia, Au kuvilegeza vifungo vya Orioni?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia makundi ya nyota: Unaweza kuifunga minyororo Kilimia, au kuviregeza vifungo vya Orioni?