Job 38:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, waweza kuziongoza nyota katika majira yake, au kumwongoza Dubu pamoja na watoto wake?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unaweza kuyaongoza makundi ya nyota kwa majira yake, au kuongoza Dubu na watoto wake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Waweza kuziongoza Sayari kwa wakati wake? Au waweza kuongoza Dubu na watoto wake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, waweza kuziongoza nyota katika majira yake, au kumwongoza Dubu pamoja na watoto wake?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waweza kuliongoza kundi la nyota kwa majira yake au kuongoza Dubu na watoto wake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waweza kuyaongoza makundi ya nyota kwa majira yake, au kuongoza Dubu na watoto wake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Waweza kuziongoza Sayari kwa wakati wake? Au waweza kuongoza Dubu na watoto wake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, waweza kuziongoza nyota katika majira yake, au kumwongoza Dubu pamoja na watoto wake?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Utazitoa nyota za Mviringo wa Nyama kila moja wakati wake? au zile za Gari na za watoto wake utaziongoza?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Waweza kuziongoza Sayari kwa wakati wake? Au waweza kuongoza Dubu na watoto wake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unaweza kuongoza nyota kwa wakati wake, au kumwongoza Dubu pamoja na vitoto vyake?