Job 38:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, wazijua kanuni zinazotawala mbingu; Je, waweza kuzipangia taratibu zao duniani?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, unajua sheria zinazotawala mbingu? Unaweza kuweka utawala wa Mungu duniani?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Unazijua amri zilizoamuriwa mbingu? Waweza kuyathibitisha mamlaka yake juu ya dunia?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, wazijua kanuni zinazotawala mbingu; Je, waweza kuzipangia taratibu zao duniani?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, unajua sheria zinazotawala mbingu? Waweza kuweka utawala wa Mungu duniani?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, unajua sheria zinazotawala mbingu? Waweza kuweka utawala wa Mungu duniani?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Unazijua amri zilizoamriwa mbingu? Waweza kuyathibitisha mamlaka yake juu ya dunia?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, wazijua kanuni zinazotawala mbingu; Je, waweza kuzipangia taratibu zao duniani?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Maongozi ya mbinguni unayajua? au ni wewe unayezipa nchi hii, ziitawale?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Unazijua amri zilizoamuriwa mbingu? Waweza kuyathibitisha mamlaka yake juu ya dunia?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unayajua maagizo ya mbingu? Unaweza kuzipangia utaratibu wao katika dunia?