Job 38:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Je, waweza kupaza sauti na kuyaamuru mawingu yakufunike kwa mtiririko wa mvua?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Unaweza kuipaza sauti yako hadi mawinguni, na kujifunika mwenyewe na gharika ya maji?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni, ili wingi wa maji ukufunikize?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Je, waweza kupaza sauti na kuyaamuru mawingu yakufunike kwa mtiririko wa mvua?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni na kujifunika mwenyewe na gharika ya maji?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni, na kujifunika mwenyewe na gharika ya maji?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni, ili wingi wa maji ukufunikize?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Je, waweza kupaza sauti na kuyaamuru mawingu yakufunike kwa mtiririko wa mvua?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Unaweza kuzipaza sauti zako, zifike mawinguni, uite mvua yenye maji mengi, ije kukufunika?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni, ili wingi wa maji ukufunikize?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unaweza kupiga vigelegele na kuyaamuru mawingu yakufunike kwa mutiririko wa mvua?