Job 38:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni nani aliyemjulisha kwarara kujaa kwa mto Nili au aliyemwambia jogoo kwamba mvua inakuja?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani aliyeujalia moyo hekima au kuzipa akili ufahamu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Ni nani aliyetia hekima moyoni? Au ni nani aliyetia ufahamu rohoni?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni nani aliyemjulisha kwarara kujaa kwa mto Nili au aliyemwambia jogoo kwamba mvua inakuja?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani aliyeujalia moyo hekima au kuzipa akili ufahamu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani aliyeujalia moyo hekima au kuzipa akili ufahamu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Ni nani aliyetia hekima moyoni? Au ni nani aliyetia ufahamu rohoni?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni nani aliyemjulisha kwarara kujaa kwa mto Nili au aliyemwambia jogoo kwamba mvua inakuja?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni nani afanyaye yenye ujuzi kama hayo pasipo kujulikana? Au ni nani ayatambulishaye kwao wayachunguzao?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Ni nani aliyetia hekima moyoni? Au ni nani aliyetia ufahamu rohoni?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni nani aliyemujulisha kwarara kujaa kwa muto Nili au aliyemwambia jogoo kwamba mvua inakuja?