Job 38:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani mwenye akili ya kuweza kuhesabu mawingu, au kuinamisha viriba vya maji huko mbinguni?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nani mwenye hekima ya kuyahesabu mawingu? Ni nani awezaye kuinamisha magudulia ya mbinguni
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani awezaye kuyahesabu mawingu kwa hekima? Au ni nani awezaye kuzimimina chupa za mbinguni?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani mwenye akili ya kuweza kuhesabu mawingu, au kuinamisha viriba vya maji huko mbinguni?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nani mwenye hekima ya kuyahesabu mawingu? Ni nani awezaye kuinamisha magudulia ya mbinguni
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nani mwenye hekima ya kuyahesabu mawingu? Ni nani awezaye kuinamisha magudulia ya mbinguni
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani awezaye kuyahesabu mawingu kwa hekima? Au ni nani awezaye kuzimimina chupa za mbinguni?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani mwenye akili ya kuweza kuhesabu mawingu, au kuinamisha viriba vya maji huko mbinguni?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni nani awezaye kuyahesabu mawingu, asipotelewe? Au ni nani awezaye kuvimwaga viriba vya mbinguni,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani awezaye kuyahesabu mawingu kwa hekima? Au ni nani awezaye kuzimimina chupa za mbinguni?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani mwenye akili ya kuweza kuhesabu mawingu au kuinamisha vibuyu vya maji kule katika mbingu