Job 38:39 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Je, waweza kumwindia simba mawindo yake au kuishibisha hamu ya wana simba;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Je, utamwindia simba jike mawindo, na kuwashibisha simba wenye njaa
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Utamwindia simba mke mawindo? Au utashibisha njaa ya simba wachanga,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Je, waweza kumwindia simba mawindo yake au kuishibisha hamu ya wana simba;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Je, utamwindia simba jike mawindo na kuwashibisha simba wenye njaa
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Je, utamwindia simba jike mawindo, na kuwashibisha simba wenye njaa
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Utamwindia simba mke mawindo? Au utashibisha njaa ya simba wachanga,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Je, waweza kumwindia simba mawindo yake au kuishibisha hamu ya wana simba;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Unaweza kumpokonya simba mke nyama, aliyemrarua? Au unaweza kuikomesha njaa ya wana wa simba,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Utamwindia simba mke mawindo? Au utashibisha njaa ya simba wachanga,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unaweza kumwindia simba dike au kuishibisha hamu ya simba wakali