Job 38:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ulikuwa wapi nilipoiweka misingi ya dunia? Niambie, kama una maarifa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ulikuwa wapi nilipoweka misingi ya dunia? Niambie, kama unafahamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ulikuwa wapi nilipoiweka misingi ya nchi? Haya! Sema, kama ukiwa na ufahamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ulikuwa wapi nilipoiweka misingi ya dunia? Niambie, kama una maarifa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ulikuwa wapi nilipoweka misingi ya dunia? Niambie, kama unafahamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ulikuwa wapi nilipoweka misingi ya dunia? Niambie, kama unafahamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ulikuwa wapi nilipoiweka misingi ya nchi? Haya! Sema, kama una ufahamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ulikuwa wapi nilipoiweka misingi ya dunia? Niambie, kama una maarifa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipoiweka misingi ya nchi, ulikuwa wapi? Kama unajua utambuzi, ieleze!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ulikuwa wapi nilipoiweka misingi ya nchi? Haya! Sema, kama ukiwa na ufahamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulikuwa wapi nilipoiweka misingi ya dunia? Uniambie, kama una maarifa.