Job 38:41 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni nani awapaye kunguru chakula chao, makinda yao yanaponililia mimi Mungu, na kurukaruka huku na huko kwa njaa?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani ampaye kunguru chakula wakati makinda yake yanamlilia Mungu, yakizungukazunguka kwa ajili ya kukosa chakula?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani anayempatia kunguru chakula, Makinda yake wanapomlilia Mungu, Na kutanga-tanga kwa kutindikiwa na chakula?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni nani awapaye kunguru chakula chao, makinda yao yanaponililia mimi Mungu, na kurukaruka huku na huko kwa njaa?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani ampaye kunguru chakula wakati makinda yake yanapomlilia Mungu yakizungukazunguka kwa ajili ya kukosa chakula?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani ampaye kunguru chakula wakati makinda yake yanamlilia Mungu, yakizungukazunguka kwa ajili ya kukosa chakula?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani anayempatia kunguru chakula, Makinda yake wanapomlilia Mungu, Na kutangatanga kwa kutindikiwa na chakula?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni nani awapaye kunguru chakula chao, makinda yao yanaponililia mimi Mungu, na kurukaruka huku na huko kwa njaa?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni nani awapatiaye makunguru vilaji vyao, wana wao wakimlilia Mungu na kutangatanga kwa kukosa chakula?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani anayempatia kunguru chakula, Makinda yake wanapomlilia Mungu, Na kutanga-tanga kwa kutindikiwa na chakula?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni nani anayewapa vibombobombo chakula chao, vitoto vyao vinaponililia mimi Mungu, na kurukaruka huku na kule kwa njaa?