Job 38:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni nani aliyeweka vipimo vyake, wajua bila shaka! Au nani aliyelaza kamba juu yake kuipima?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani aliyeweka alama vipimo vyake? Hakika wewe unajua! Ni nani aliyenyoosha kamba ya kupimia juu yake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani aliyeamrisha vipimo vyake, kama ukijua? Au ni nani aliyenyosha kamba juu yake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni nani aliyeweka vipimo vyake, wajua bila shaka! Au nani aliyelaza kamba juu yake kuipima?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani aliyeweka alama vipimo vyake? Hakika wewe unajua! Ni nani aliyenyosha kamba ya kupimia juu yake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani aliyeweka alama vipimo vyake? Hakika wewe unajua! Ni nani aliyenyoosha kamba ya kupimia juu yake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani aliyeamrisha vipimo vyake - hakika unajua! Au ni nani aliyenyosha kamba juu yake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni nani aliyeweka vipimo vyake, wajua bila shaka! Au nani aliyelaza kamba juu yake kuipima?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni nani aliyeviweka vipimo vyake? Sema, kama unavijua! Au ni nani aliyeipima kwa kamba ya kupimia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani aliyeamrisha vipimo vyake, kama ukijua? Au ni nani aliyenyosha kamba juu yake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni nani aliyeweka vipimo vyake, unajua bila shaka! Au nani aliyenyoosha kamba juu yake kwa kuipima?