Job 38:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, nguzo za dunia zimesimikwa juu ya nini, au nani aliyeliweka jiwe lake la msingi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, misingi yake iliwekwa juu ya nini, au ni nani aliyeweka jiwe la pembeni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Misingi yake ilikazwa juu ya kitu gani? Au ni nani aliyeliweka jiwe lake la pembeni,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, nguzo za dunia zimesimikwa juu ya nini, au nani aliyeliweka jiwe lake la msingi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, misingi yake iliwekwa juu ya nini, au ni nani aliyeweka jiwe la pembeni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, misingi yake iliwekwa juu ya nini, au ni nani aliyeweka jiwe la pembeni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Misingi yake ilikazwa juu ya kitu gani? Au ni nani aliyeliweka jiwe lake la pembeni,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, nguzo za dunia zimesimikwa juu ya nini, au nani aliyeliweka jiwe lake la msingi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Misingi yake ilikochimbiwa, ndiko wapi? Au ni nani aliyeliweka jiwe lake la pembeni,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Misingi yake ilikazwa juu ya kitu gani? Au ni nani aliyeliweka jiwe lake la pembeni,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nguzo za dunia zimesimikwa juu ya nini, au nani aliyeliweka jiwe lake la musingi,