Job 38:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nyota za asubuhi zilipokuwa zikiimba pamoja, na wana wa Mungu wakapaza sauti za shangwe?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakati nyota za asubuhi zilipoimba pamoja, na malaika wote walipokuwa wakishangilia kwa furaha?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo nyota za asubuhi zilipoimba pamoja, Na wana wote wa Mungu walipopiga kelele kwa furaha?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nyota za asubuhi zilipokuwa zikiimba pamoja, na wana wa Mungu wakapaza sauti za shangwe?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakati nyota za asubuhi zilipoimba pamoja na malaika wote walipokuwa wakipiga kelele kwa furaha?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakati nyota za asubuhi zilipoimba pamoja, na malaika wote walipokuwa wakipiga kelele kwa furaha?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo nyota za asubuhi zilipoimba pamoja, Na wana wote wa Mungu walipopiga kelele kwa furaha?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nyota za asubuhi zilipokuwa zikiimba pamoja, na wana wa Mungu wakapaza sauti za shangwe?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
zilipopiga shangwe nyota za mapema zote pamoja, nao wote waliokuwa wana wa Mungu walipopiga vigelegele?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo nyota za asubuhi zilipoimba pamoja, Na wana wote wa Mungu walipopiga kelele kwa furaha?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nyota za asubui zilipokuwa zikiimba pamoja, na wana wa Mungu wakapiga vigelegele vya shangwe?