Job 38:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni nani aliyeyafunga mafuriko ya bahari wakati yalipozuka na kuvuma kutoka vilindini?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ni nani aliyeifungia bahari milango ilipopasuka kutoka tumbo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Au ni nani aliyeifunga bahari kwa milango, Hapo ilipofurika kana kwamba imetoka tumboni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni nani aliyeyafunga mafuriko ya bahari wakati yalipozuka na kuvuma kutoka vilindini?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ni nani aliyeifungia bahari milango ilipopasuka kutoka katika tumbo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ni nani aliyeifungia bahari milango ilipopasuka kutoka tumbo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Au ni nani aliyeifunga bahari kwa milango, Hapo ilipotoka kwa nguvu kama kwamba imetoka tumboni mwa nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni nani aliyeyafunga mafuriko ya bahari wakati yalipozuka na kuvuma kutoka vilindini?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni nani aliyeifunga bahari kwa milango, ilipotoka tumboni mwa nchi kwa kufurika?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Au ni nani aliyeifunga bahari kwa milango, Hapo ilipofurika kana kwamba imetoka tumboni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni nani aliyefunga mafuriko ya bahari wakati yalipozuka na kuvuma kutoka katika vilindi?