Job 38:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi ndiye niliyeifunika bahari kwa mawingu na kuiviringishia giza nene.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nilipoyafanya mawingu kuwa vazi lake, na kuyafungia katika giza nene,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nilipolifanya wingu kuwa vazi lake, Na giza zito kuwa nguo ya kuifungia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi ndiye niliyeifunika bahari kwa mawingu na kuiviringishia giza nene.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nilipoyafanya mawingu kuwa vazi lake na kuyafungia katika giza nene,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nilipoyafanya mawingu kuwa vazi lake, na kuyafungia katika giza nene,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilipolifanya wingu kuwa vazi lake, Na giza zito kuwa nguo ya kuifungia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi ndiye niliyeifunika bahari kwa mawingu na kuiviringishia giza nene.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipoipatia mawingu kuwa mavazi yake ka kungu jeusi kuwa nguo zake za kujitandia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nilipolifanya wingu kuwa vazi lake, Na giza zito kuwa nguo ya kuifungia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni nani aliyefunika bahari kwa mawingu na kuiviringishia giza kubwa,