Job 39:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
lakini hajui kama yanaweza kukanyagwa, au kuvunjwa na mnyama wa porini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
bila kujali kuwa mguu unaweza kuyaponda, kwamba baadhi ya wanyama wa porini wanaweza kuyakanyaga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kusahau kwamba yumkini mguu kuyavunja, Au mnyama wa mwitu kuyakanyaga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
lakini hajui kama yanaweza kukanyagwa, au kuvunjwa na mnyama wa porini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
bila kujali kuwa mguu waweza kuyaponda, kwamba baadhi ya wanyama wa porini wanaweza kuyakanyaga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bila kujali kuwa mguu waweza kuyaponda, kwamba baadhi ya wanyama wa porini wanaweza kuyakanyaga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kusahau kwamba huenda mguu ukayavunja, Au mnyama-pori kuyakanyaga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
lakini hajui kama yanaweza kukanyagwa, au kuvunjwa na mnyama wa porini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
husahau, ya kama labda mguu utapapita utakaoyakanyaga, au nyama wa porini atayapondaponda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kusahau kwamba yumkini mguu kuyavunja, Au mnyama wa mwitu kuyakanyaga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini hajui kama yanaweza kukanyagwa, au kuvunjwa na nyama wa pori.