Job 39:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Silaha wachukuazo wapandafarasi, hugongana kwa sauti na kungaa juani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Podo hutoa sauti kando yake, pamoja na mkuki unaong’aa na fumo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Podo humpigia makelele, Mkuki ung'aao na fumo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Silaha wachukuazo wapandafarasi, hugongana kwa sauti na kung'aa juani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Podo hutoa sauti kando yake, pamoja na mkuki unaong'aa na fumo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Podo hutoa sauti kando yake, pamoja na mkuki unaong’aa na fumo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Podo humpigia makelele, Mkuki ung'aao na fumo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Silaha wachukuazo wapandafarasi, hugongana kwa sauti na kungaa juani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Podo hupiga kelele juu yake, nayo mikuki imetukayo pamoja na chembe za mishale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Podo humpigia makelele, Mkuki ung’aao na fumo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Silaha wapanda-farasi wanazobeba, zinagongana kwa sauti na kuangaa kwenye jua.