Job 39:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wajua wakati watakapochuchumaa kuzaa, wakati wa kuzaa watoto wao?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao hujiinamisha na kuzaa watoto wao; uchungu wa kuzaa unakoma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wao hujiinamisha, kuzaa watoto wao, Watupa taabu zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wajua wakati watakapochuchumaa kuzaa, wakati wa kuzaa watoto wao?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao hujiinamisha na kuzaa watoto wao, utungu wa kuzaa unakoma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao hujiinamisha na kuzaa watoto wao; utungu wa kuzaa unakoma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wao hujiinamisha, kuzaa watoto wao, Watupa taabu zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wajua wakati watakapochuchumaa kuzaa, wakati wa kuzaa watoto wao?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huchutama, kisha huwazaa watoto wao, huko ndiko kuukomesha uchungu wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wao hujiinamisha, kuzaa watoto wao, Watupa taabu zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanachutama kwa kuzaa, wanazaa vitoto vyao.