Job 4:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waovu hunguruma kama simba mkali, lakini meno yao huvunjwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Simba anaweza kunguruma na kukoroma, lakini bado meno ya simba mkubwa huvunjika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kunguruma kwake simba, na sauti ya simba mkali, Na meno ya simba wachanga, yamevunjika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waovu hunguruma kama simba mkali, lakini meno yao huvunjwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Simba anaweza kunguruma na kukoroma, lakini bado meno ya simba mkubwa huvunjika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Simba anaweza kunguruma na kukoroma, lakini bado meno ya simba mkubwa huvunjika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kunguruma kwake simba, na sauti ya simba mkali, Na meno ya simba wachanga, yamevunjika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waovu hunguruma kama simba mkali, lakini meno yao huvunjwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauti zake simba huwa zenye ukali, akinguruma; lakini meno yao wana wa simba yakivunjika,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kunguruma kwake simba, na sauti ya simba mkali, Na meno ya simba wachanga, yamevunjika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waovu wananguruma kama simba mukali, lakini meno yao inavunjwa.