Job 4:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Simba mwenye nguvu hufa kwa kukosa mawindo, na watoto wa simba jike hutawanywa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Simba anaweza kuangamia kwa kukosa mawindo, nao wana wa simba jike hutawanyika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Simba mzee huangamia kwa kukosa mawindo, Nao watoto wa simba mke wametawanyika mbalimbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Simba mwenye nguvu hufa kwa kukosa mawindo, na watoto wa simba jike hutawanywa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Simba anaweza kuangamia kwa kukosa mawindo, nao wanasimba wa simba jike hutawanyika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Simba anaweza kuangamia kwa kukosa mawindo, nao wana wa simba jike hutawanyika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Simba mzee huangamia kwa kukosa mawindo, Nao watoto wa simba jike wametawanyika mbalimbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Simba mwenye nguvu hufa kwa kukosa mawindo, na watoto wa simba jike hutawanywa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nao hukosa nyama za kula; ndivyo, naye simba anavyoangamia, nao watoto wa simba mke hutawanyika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Simba mzee huangamia kwa kukosa mawindo, Nao watoto wa simba mke wametawanyika mbalimbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Simba mwenye nguvu anakufa kwa kukosa chakula, na watoto wa simba dike wanatawanywa!