Job 4:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Siku moja, niliambiwa neno kwa siri, sikio langu lilisikia mnongono wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Neno lililetwa kwangu kwa siri, masikio yangu yakasikia mnong’ono wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, nililetewa neno kwa siri, Sikio langu likasikia manong'ono yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Siku moja, niliambiwa neno kwa siri, sikio langu lilisikia mnong'ono wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Neno lililetwa kwangu kwa siri, masikio yangu yakasikia mnong'ono wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Neno lililetwa kwangu kwa siri, masikio yangu yakasikia mnong’ono wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, nililetewa neno kwa siri, Sikio langu likasikia manong'ono yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Siku moja, niliambiwa neno kwa siri, sikio langu lilisikia mnongono wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Liko neno lililonijia kama mwizi, sikio langu likalipokea, liliponong'onezwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, nililetewa neno kwa siri, Sikio langu likasikia manong’ono yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku moja, niliambiwa neno kwa siri, sikio langu lilisikia manongonezo yake.