Job 4:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kitu kilisimama tuli mbele yangu, nilipokitazama sikukitambua kabisa. Kulikuwa na umbo fulani mbele yangu; kulikuwa kimya, kisha nikasikia sauti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule roho akasimama, lakini sikuweza kutambua kilikuwa kitu gani. Umbo fulani lilisimama mbele ya macho yangu, kukawa na ukimya kisha nikasikia sauti:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hiyo pepo ilisimama kimya, nisiweze kutambua sura zake, Mfano ulikuwa mbele ya macho yangu; Kulikuwa kimya, nami nilisikia sauti, ikinena,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kitu kilisimama tuli mbele yangu, nilipokitazama sikukitambua kabisa. Kulikuwa na umbo fulani mbele yangu; kulikuwa kimya, kisha nikasikia sauti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule roho akasimama, lakini sikuweza kutambua kilikuwa kitu gani. Umbo fulani lilisimama mbele ya macho yangu, kukawa na ukimya kisha nikasikia sauti:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule roho akasimama, lakini sikuweza kutambua kilikuwa kitu gani. Umbo fulani lilisimama mbele ya macho yangu, kukawa na ukimya kisha nikasikia sauti:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hiyo pepo ilisimama kimya, nisiweze kutambua sura zake, Mfano ulikuwa mbele ya macho yangu; Kulikuwa kimya, nami nilisikia sauti, ikinena,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kitu kilisimama tuli mbele yangu, nilipokitazama sikukitambua kabisa. Kulikuwa na umbo fulani mbele yangu; kulikuwa kimya, kisha nikasikia sauti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwani pakasimama mfano machoni pangu, nami sikuweza kuutambua vema, jinsi ulivyokuwa; lakini kwa kuwa kimya nikasikia sauti ya kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hiyo pepo ilisimama kimya, nisiweze kutambua sura zake, Mfano ulikuwa mbele ya macho yangu; Kulikuwa kimya, nami nilisikia sauti, ikinena,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kitu kimoja kikasimama mbele yangu. Nilipokiangalia sikukitambua kabisa. Kulikuwa umbo moja mbele yangu. Kulikuwa kimya, kisha nikasikia sauti: