Job 4:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata watumishi wake, Mungu hana imani nao; na malaika wake huwaona wana kosa;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa Mungu hawaamini watumishi wake, ikiwa yeye huwalaumu malaika wake kwa kukosea,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, yeye hawategemei watumishi wake; Na malaika zake huwahesabia upuzi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata watumishi wake, Mungu hana imani nao; na malaika wake huwaona wana kosa;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama Mungu hawaamini watumishi wake, kama yeye huwalaumu malaika zake kwa kukosea,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama Mungu hawaamini watumishi wake, kama yeye huwalaumu malaika zake kwa kukosea,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, yeye hawategemei watumishi wake; Na malaika wake huwahesabia kosa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata watumishi wake, Mungu hana imani nao; na malaika wake huwaona wana kosa;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama! Watumishi wake hawezi kuwategemea, nao malaika zake huwaona, wakikosa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, yeye hawategemei watumishi wake; Na malaika zake huwahesabia upuzi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu hawaaminie hata watumishi wake, na wamalaika wake anawaona wana kosa.