Job 4:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Binadamu kwa masaa machache tu waweza kuangamia; huangamia milele bila kuacha hata alama yao!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kati ya mawio na machweo huvunjwa vipande vipande; bila yeyote kutambua, huangamia milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kati ya asubuhi na jioni huvunjwa-vunjwa; Waangamia milele wala hapana atiaye moyoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Binadamu kwa masaa machache tu waweza kuangamia; huangamia milele bila kuacha hata alama yao!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kati ya maawio na machweo huvunjwa vipande vipande, bila ye yote kutambua, huangamia milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kati ya mawio na machweo huvunjwa vipande vipande; bila yeyote kutambua, huangamia milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kati ya asubuhi na jioni huvunjwa-vunjwa; Waangamia milele wala hapana atiaye moyoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Binadamu kwa masaa machache tu waweza kuangamia; huangamia milele bila kuacha hata alama yao!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Toka asubuhi mpaka jioni husetwasetwa; nao wakiangamia kale na kale, hakuna aviwekaye moyoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kati ya asubuhi na jioni huvunjwa-vunjwa; Waangamia milele wala hapana atiaye moyoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanadamu wanaangamia kwa saa chache tu; wanaangamia milele bila kuacha hata alama.