Job 4:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Iwapo uzi unaoshikilia uhai wao ukikatwa wao hufa tena bila kuwa na hekima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, kamba za hema lao hazikung’olewa, hivyo hufa bila hekima?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Kamba ya hema yao haikung'olewa ndani yao? Wafa, kisha hali hawana akili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Iwapo uzi unaoshikilia uhai wao ukikatwa wao hufa tena bila kuwa na hekima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, kamba za hema yao hazikung'olewa, hivyo hufa bila hekima?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, kamba za hema yao hazikung’olewa, hivyo hufa bila hekima?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Kamba ya hema yao haikung'olewa ndani yao? Nao hufa hata bila kuwa na hekima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Iwapo uzi unaoshikilia uhai wao ukikatwa wao hufa tena bila kuwa na hekima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kamba za mahema yao hakatwa, wakingali wamo; kwa kukosa werevu wa kweli hujifia tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Kamba ya hema yao haikung’olewa ndani yao? Wafa, kisha hali hawana akili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama uzi unaoshikilia uzima wao ukikatwa, wao wanakufa, tena bila kuwa na hekima”.