Job 4:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikiliza! Wewe umewafundisha wengi, na kuiimarisha mikono ya wanyonge.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fikiri jinsi umewafundisha watu wengi, jinsi umeitia nguvu mikono iliyokuwa dhaifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, wewe umewafunza watu wengi, Nawe umeitia nguvu mikono iliyokuwa minyonge.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikiliza! Wewe umewafundisha wengi, na kuiimarisha mikono ya wanyonge.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fikiri jinsi ambavyo umewafundisha watu wengi, jinsi ambavyo umeitia nguvu mikono iliyokuwa dhaifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fikiri jinsi ambavyo umewafundisha watu wengi, jinsi ambavyo umeitia nguvu mikono iliyokuwa dhaifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, wewe umewafunza watu wengi, Nawe umeitia nguvu mikono iliyokuwa minyonge.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikiliza! Wewe umewafundisha wengi, na kuiimarisha mikono ya wanyonge.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama, uliowaonya ni wengi, ukashupaza mikono iliyokuwa imelegea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, wewe umewafunza watu wengi, Nawe umeitia nguvu mikono iliyokuwa minyonge.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikiliza! Wewe umewafundisha wengi, na kuiimarisha mikono ya wazaifu.