Job 4:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini sasa yamekupata, nawe ukakosa subira, yamekugusa, nawe ukafadhaika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini sasa hii taabu imekujia wewe, nawe unashuka moyo; imekupiga wewe, nawe unafadhaika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini sasa haya yamekufikilia wewe, nawe wafa moyo; Yamekugusa, nawe wafadhaika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini sasa yamekupata, nawe ukakosa subira, yamekugusa, nawe ukafadhaika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini sasa hii taabu imekujia wewe, nawe unashuka moyo, imekupiga wewe, nawe unafadhaika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini sasa hii taabu imekujia wewe, nawe unashuka moyo; imekupiga wewe, nawe unafadhaika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini sasa haya yamekufikia wewe, nawe wafa moyo; Yamekugusa, nawe wafadhaika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini sasa yamekupata, nawe ukakosa subira, yamekugusa, nawe ukafadhaika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini sasa mambo yakikufikia wewe, unazimia; yakikugusa wewe nawe, unastuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini sasa haya yamekufikilia wewe, nawe wafa moyo; Yamekugusa, nawe wafadhaika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini sasa shida imekupata nawe unaregea. Imekugusa, nawe unafazaika.