Job 4:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, kumcha Mungu si ndilo tegemeo lako? Na unyofu wako si ndilo tumaini lako?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, kumcha Mungu kwako hakupaswi kuwa ndiyo matumaini yako na njia zako kutokuwa na lawama ndilo taraja lako?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Dini yako siyo mataraja yako, Na matumaini yako si huo uelekevu wa njia zako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, kumcha Mungu si ndilo tegemeo lako? Na unyofu wako si ndilo tumaini lako?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, kumcha Mungu kwako hakupaswi kuwa ndiyo matumaini yako na njia zako kutokuwa na lawama ndilo taraja lako?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, kumcha Mungu kwako hakupaswi kuwa ndiyo matumaini yako na njia zako kutokuwa na lawama ndilo taraja lako?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Dini yako siyo tegemeo lako? Na matumaini yako si huo uelekevu wa njia zako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, kumcha Mungu si ndilo tegemeo lako? Na unyofu wako si ndilo tumaini lako?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo, unavyomcha Mungu, sivyo unavyoviegemea? tena hivyo, njia zako zinavyomwelekea Mungu, sivyo unavyovingojea?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Dini yako siyo mataraja yako, Na matumaini yako si huo uelekevu wa njia zako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kumwogopa Mungu si ndilo tegemeo lako? Na ukamilifu wa mwenendo wako si ndilo tumaini lako?