Job 4:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fikiri sasa: Nani asiye na hatia ambaye amepata kuangamia? Au, je, waadilifu wamepata kutupwa?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Fikiri sasa: Ni mtu yupi asiye na hatia ambaye aliwahi kuangamia? Ni wapi wanyofu waliwahi kuangamizwa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kumbuka, tafadhali, ni nani aliyeangamia akiwa hana hatia? Au hao waelekevu, walikatiliwa mbali wapi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fikiri sasa: nani asiye na hatia ambaye amepata kuangamia? Au, je, waadilifu wamepata kutupwa?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Fikiri sasa: Ni mtu yupi, asiye na hatia, ambaye aliwahi kuangamia? Ni wapi ambapo wanyofu waliwahi kuangamizwa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Fikiri sasa: Ni mtu yupi asiye na hatia ambaye aliwahi kuangamia? Ni wapi wanyofu waliwahi kuangamizwa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kumbuka, tafadhali, ni nani aliyeangamia akiwa hana hatia? Au ni wapi hao waelekevu walikatiliwa mbali?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fikiri sasa: Nani asiye na hatia ambaye amepata kuangamia? Au, je, waadilifu wamepata kutupwa?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumbuka, kama yuko aliyeangamia akiwa hakukosa? tena wako wapi wanyokao waliotoweshwa?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kumbuka, tafadhali, ni nani aliyeangamia akiwa hana hatia? Au hao waelekevu, walikatiliwa mbali wapi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Fikiri sasa: nani asiyekuwa na kosa ambaye amepata kuangamia? Au, watu wa usawa wamepata kutupiliwa?