Job 4:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nijuavyo mimi, wapandao uovu na ubaya huvuna hayohayo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa jinsi mimi nimechunguza, wale walimao ubaya na wale hupanda uovu, huvuna hayo hayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama mimi nilivyoona, hao walimao maovu, Na kupanda madhara, huvuna yayo hayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nijuavyo mimi, wapandao uovu na ubaya huvuna hayohayo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa jinsi ambavyo mimi nimechunguza, wale walimao ubaya na wale hupanda uovu, huvuna yayo hayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa jinsi ambavyo mimi nimechunguza, wale walimao ubaya na wale hupanda uovu, huvuna hayo hayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama mimi nilivyoona, hao walimao maovu, Na kupanda madhara, huvuna yayo hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nijuavyo mimi, wapandao uovu na ubaya huvuna hayohayo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilivyoviona ni hivi: wenye kulima mapotovu nao wenye kupanda masumbuko, huyavuna yayo hayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama mimi nilivyoona, hao walimao maovu, Na kupanda madhara, huvuna yayo hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nimeona kwamba wanaopanda uovu na ubaya wanavuna yaleyale.