Job 40:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazike wote pamoja ardhini; mfunge kila mmoja kwa kifungo cha kifo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazike wote mavumbini pamoja; wafunge nyuso zao kaburini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wafiche mavumbini pamoja, Wafunge nyuso zao mahali palipositirika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazike wote pamoja ardhini; mfunge kila mmoja kwa kifungo cha kifo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazike wote mavumbini pamoja, wafunge nyuso zao kaburini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazike wote mavumbini pamoja; wafunge nyuso zao kaburini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wafiche mavumbini pamoja, Wafunge nyuso zao mahali palipositirika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazike wote pamoja ardhini; mfunge kila mmoja kwa kifungo cha kifo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wachimbie uvumbini wote pamoja, nazo nyuso zao zifungie gizani hapo, wanapochimbiwa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wafiche mavumbini pamoja, Wafunge nyuso zao mahali palipositirika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwazike wote pamoja ndani ya udongo; umufunge kila mumoja kwa kifungo cha kifo.