Job 40:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo nitakutambua, kwamba nguvu yako mwenyewe imekupa ushindi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo mimi mwenyewe nitakukubalia kuwa mkono wako mwenyewe wa kuume unaweza kukuokoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo mimi nami nitazikiri habari zako, Ya kuwa mkono wako wa kuume waweza kukuokoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo nitakutambua, kwamba nguvu yako mwenyewe imekupa ushindi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo mimi mwenyewe nitakukubalia kuwa mkono wako mwenyewe wa kuume unaweza kukuokoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo mimi mwenyewe nitakukubalia kuwa mkono wako mwenyewe wa kuume unaweza kukuokoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo mimi nami nitazikiri habari zako, Ya kuwa mkono wako wa kulia waweza kukuokoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo nitakutambua, kwamba nguvu yako mwenyewe imekupa ushindi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nitakapokutukuza mimi nami kwa kwamba: Mkono wako wa kiume unakuokoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo mimi nami nitazikiri habari zako, Ya kuwa mkono wako wa kuume waweza kukuokoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu nitakutambua kwa vile nguvu yako mwenyewe imekupa ushindi.