Job 40:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Liangalie lile dude Behemothi, nililoliumba kama nilivyokuumba wewe. Hilo hula nyasi kama ng'ombe,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwangalie mnyama aitwaye Behemothi, niliyemuumba kama nilivyokuumba wewe, anayekula majani kama ng’ombe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwangalie huyo kiboko, niliyemwumba pamoja nawe; Yeye hula nyasi kama vile ng'ombe,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Liangalie lile dude Behemothi, nililoliumba kama nilivyokuumba wewe. Hilo hula nyasi kama ng'ombe,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mwangalie kiboko, niliyemwumba kama nilivyokuumba wewe, ambaye anajilisha kwa majani kama ng'ombe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mwangalie mnyama aitwaye Behemothi, niliyemuumba kama nilivyokuumba wewe, anayekula majani kama ng’ombe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwangalie huyo kiboko, niliyemwumba pamoja nawe; Yeye hula nyasi kama ng'ombe,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Liangalie lile dude Behemothi, nililoliumba kama nilivyokuumba wewe. Hilo hula nyasi kama ng'ombe,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtazame kiboko, niliyemwumba, kama nilivyokuumba wewe; naye hula majani kama ng'ombe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwangalie huyo kiboko, niliyemwumba pamoja nawe; Yeye hula nyasi kama vile ng’ombe,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uangalie yule nyama mukubwa kiboko. Nilimwumba kama nilivyokuumba wewe. Yeye anakula majani kama ngombe,