Job 40:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
lakini mwilini lina nguvu ajabu, na misuli ya tumbo lake ni imara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama basi nguvu alizo nazo kwenye viuno vyake, uwezo alio nao kwenye misuli ya tumbo lake!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama basi, nguvu zake ni katika viuno vyake, Na uwezo wake u katika mishipa ya tumbo lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
lakini mwilini lina nguvu ajabu, na misuli ya tumbo lake ni imara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama basi, nguvu alizo nazo kwenye viuno vyake, uwezo alio nao kwenye misuli ya tumbo lake!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama basi nguvu alizo nazo kwenye viuno vyake, uwezo alio nao kwenye misuli ya tumbo lake!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama basi, nguvu zake zimo katika viuno vyake, Na uwezo wake u katika mishipa ya tumbo lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
lakini mwilini lina nguvu ajabu, na misuli ya tumbo lake ni imara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Zitazame nguvu zake, alizo nazo kiunoni mwake, nao uwezo wake uliomo mishipani mwa tumbo lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama basi, nguvu zake ni katika viuno vyake, Na uwezo wake u katika mishipa ya tumbo lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini ana nguvu ajabu katika mwili wake, na mishipa ya tumbo lake ni imara.