Job 40:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hilo ni la kwanza la ajabu kati ya viumbe vyangu! Ni mimi Muumba wake niwezaye kulishinda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye ni wa kwanza miongoni mwa kazi za Mungu, lakini Muumba wake anaweza kumsogelea kwa upanga wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye ni mkuu wa njia za Mungu; Yeye aliyemfanya alimpa upanga wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hilo ni la kwanza la ajabu kati ya viumbe vyangu! Ni mimi Muumba wake niwezaye kulishinda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye ni wa kwanza miongoni mwa kazi za Mungu, lakini Muumba wake anaweza kumsogelea kwa upanga wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye ni wa kwanza miongoni mwa kazi za Mungu, lakini Muumba wake anaweza kumsogelea kwa upanga wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye ni wa kwanza kwa hayo matendo makuu ya Mungu; Ni Muumba wake tu awezaye kumkabili kwa upanga wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Hilo ni la kwanza la ajabu kati ya viumbe vyangu! Ni mimi Muumba wake niwezaye kulishinda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wa kwanza wa viumbe vya Mungu ndiye yeye, naye aliyemwumba alimgawia nao upanga wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye ni mkuu wa njia za Mungu; Yeye aliyemfanya alimpa upanga wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye ni wa kwanza wa ajabu kati ya viumbe vyangu! Ni mimi Muumba wake ninayeweza kumutawala.