Job 40:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Milima wanamocheza wanyama wote wa porini hutoa chakula chake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vilima humletea yeye mazao yake, nao wanyama pori wote hucheza karibu naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika milima humtolea chakula; Hapo wachezapo wanyama wote wa barani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Milima wanamocheza wanyama wote wa porini hutoa chakula chake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vilima humletea yeye mazao yake, nao wanyama wote wa porini hucheza karibu naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vilima humletea yeye mazao yake, nao wanyama wote wa porini hucheza karibu naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika milima humtolea chakula; Hapo wachezapo wanyama pori wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Milima wanamocheza wanyama wote wa porini hutoa chakula chake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mapori ya milimani humtolea chakula, nao nyama wote wa porini huchezacheza hapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika milima humtolea chakula; Hapo wachezapo wanyama wote wa barani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Milima ambamo nyama wote wa pori wanamochezea inatoa chakula chake.