Job 40:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hujisitiri katika vivuli vya vichaka vya miiba na vya miti iotayo kando ya vijito.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hiyo mimea ya yungiyungi humficha kwenye vivuli vyake; miti mirefu karibu na kijito humzunguka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hiyo miti yenye vivuli humfunika kwa vivuli vyao; Mierebi ya vijito humzunguka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hujisitiri katika vivuli vya vichaka vya miiba na vya miti iotayo kando ya vijito.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hiyo mimea ya yungiyungi humficha kwenye vivuli vyake; miti mirefu karibu na kijito humzunguka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hiyo mimea ya yungiyungi humficha kwenye vivuli vyake; miti mirefu karibu na kijito humzunguka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hiyo miti yenye vivuli humfunika kwa vivuli vyao; Mierezi ya vijito humzunguka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hujisitiri katika vivuli vya vichaka vya miiba na vya miti iotayo kando ya vijito.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ile miti yenye kivuli humfunika kwa kivuli chao, nayo mifuu ya mtoni humzunguka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hiyo miti yenye vivuli humfunika kwa vivuli vyao; Mierebi ya vijito humzunguka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vivuli vya vichaka vya miiba vinamufunika na vya miti inayoota pembeni ya vijito.