Job 40:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani awezaye kuliziba macho na kuliteka? Nani awezaye kulitoboa pua kwa mtego?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, mtu yeyote anaweza kumkamata yeye akiwa macho, au kumnasa kwa mtego na kutoboa pua yake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mtu ye yote atamnasa akiwa yu macho, Au, kumtoboa pua yake kwa mtego?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani awezaye kuliziba macho na kuliteka? Nani awezaye kulitoboa pua kwa mtego?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, mtu ye yote anaweza kumkamata yeye akiwa macho, au kumnasa kwa mtego na kutoboa pua yake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, mtu yeyote anaweza kumkamata yeye akiwa macho, au kumnasa kwa mtego na kutoboa pua yake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mtu yeyote atamnasa akiwa yu macho, Au, kumtoboa pua yake kwa mtego?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani awezaye kuliziba macho na kuliteka? Nani awezaye kulitoboa pua kwa mtego?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani atakayemkamata, akiwa macho? Au yuko nani atakayeitoboa pua yake, amfunge kwa kamba?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mtu ye yote atamnasa akiwa yu macho, Au, kumtoboa pua yake kwa mtego?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani anayeweza kuziba macho yake na kumuteka? Nani anayeweza kumutoboa pua kwa mutego?